Kocha wa zamani wa klabu za Yanga sc na Namungo Fc Cedrick Kaze amepata ofa ya kujiunga na timu ya Kaizer Chiefs kama kocha msaidizi wa Nasredine Nabi aliyefanya nae …
kaze
-
-
Kocha mkuu wa klabu ya Namungo Cedric Kaze ametangaza kujiuzulu kuifundisha timu hiyo ya Kusini mwa Tanzania bila kuweka wazi sababu hasa za kujiuzuru ukocha mkuu wa klabu hiyo pendwa …
-
Kocha msaidizi wa klabu ya Yanga sc Cedrick Kaze amefafanua suala la mchezaji Benard Morrison kutojumuishwa katika mchezo wa kombe la shirikisho dhidi ya Rivers United ya nchini Nigeria huku …
-
Kocha mkuu wa Yanga, Cedric Kaze amefurahishwa na kiwango cha mchezaji wake mpya Saido Ntibazonkiza alichokionyesha katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Singida United. Kaze aliyemsajili mchezaji huyo ukiwa na …
-
KOCHA wa Young Africans SC ya Dar es Salaam, Cedric Kaze, amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi Oktoba msimu wa 2020/21. Kaze aliwashinda Aristica Cioaba wa Azam FC na Francis …
-
Cedric Kaze yuko njiani kutua Tanzania leo Octoba 15,kwa ajili ya kuanza rasmi majukumu yake mapya ndani ya kikosi hicho cha Yanga Sc. Ofisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli, amethibitisha …
-
Taarifa zinaeleza kuwa kocha mkuu,Cedric Kaze ndiye ambaye atarithi mikoba ya Zlatico Krmpotic ambaye alifutwa kazi rasmi Oktoba 3. Zlatico alikiongoza kikosi cha Yanga kwenye mechi 8 ambapo katika hizo …