Kocha wa Simba sc Sven Vandenbroeck amefunguka sababu hasa ya kuwaweka benchi mastaa wa timu hiyo hasa Ibrahim Ajibu na Shiza Kichuya kuwa ni kutokana na kushindwa kumshawishi anapowapa nafasi. …
Tag:
kichuya
-
-
Uongozi wa klabu ya Simba Sc umeamua kumrejesha mchezaji wao wa zamani Shazi Kichuya baaada ya kuona Yanga wanamtaka mchezaji huyo. Winga huyo aliyekuwa akicheza Misri katika soka la kulipwa …
-
Baada ya sintofahamu ya muda mrefu hatimaye kiungo mshambuliaji wa zamani wa Simba sc Shiza kichuya amejiunga na timu ya Pharco fc inayoshiriki ligi daraja la kwanza nchini Misri kwa …
-
Winga wa zamani wa Simba sc Shiza Ramadhani Kichuya yupo nchini Tanzania akitafuta timu ya kuchezea baada ya ile ya Awali ya NPPI ya nchini Misri kumaliza mkataba nayo ambao …