Muda mfupi baada ya kutambulishwa katika klabu ya Simba sc kocha Kocha Fadlu Davids ampokutana kwa mara ya kwanza na baadhi ya viongozi wa timu hiyo akiwepo Mwenyekiti wa Klabu, …
kocha
-
-
Klabu ya Simba sc imefanikiwa kukamilisha mazungumzo na kocha wa Vipers Fc ya nchini Uganda Mbrazil Roberto Oliviera aka Robertinho kuja kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na kocha Zoran Maki ambaye …
-
Klabu ya Simba sc imetangaza kuachana na kocha wake Zoran Maki ikiwa ni takribani miezi miwili tangu ajiunge na klabu hiyo kama kocha mkuu kwa mkataba wa mwaka mmoja. Zoran …
-
Klabu ya Azam Fc imeamua kuachana na kocha wake wa timu ya wakubwa Abdihamid Moallin pamoja na msaidizi wake Omary Nasser ambao wameachia ngazi kama kocha mkuu na msaidizi huku …
-
Klabu ya Simba sc ipo katika mazungumzo na kocha Adil Erradi raia wa Morroco kwenda kuchukua nafasi ya kocha Pablo Franco ambaye wamemtimua klabuni hapo hivi leo. Kocha huyo ambaye …
-
Klabu ya Simba sc imeachana na kocha Pablo Franco Martin baada ya kuamua kuvunja mkataba wake kama kocha mkuu wa klabu hiyo kutokana na kutoridhishwa na matokeo ya jumla ya …
-
Kocha wa klabu ya Azam Fc Arstica Cioaba amekalia kuti kavu katika klabu hiyo baada ya kuwa na msululu wa matokeo mabovu klabuni hapo. Kocha huyo Mromania jana alishindwa kuiweka …
-
KOCHA wa Young Africans SC ya Dar es Salaam, Cedric Kaze, amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi Oktoba msimu wa 2020/21. Kaze aliwashinda Aristica Cioaba wa Azam FC na Francis …
-
-
Baada ya Ajax kuwakaribisha Liverpool kwenye uwanja wao wa nyumbani Johan Cruijff Arena wameambulia kuchapwa bao 1-0 na mabingwa hao watetezi wa ligi kuu England. Bao la pekee la Liverpool …