Aliyekuwa kocha mkuu wa Simba Sc kwa msimu wa 2019/2020,Patrick Aussems amepata dili la kuinoa Black Leopard ya Afrika Kusini kwa kipindi cha miaka mitatu. Aussems raia wa Ubelgiji akiwa …
kocha
-
-
Schalke Fc imemfungashia virago kocha wao David Wagner kufuatia kipondo cha 3-1 dhidi ya Werder Bremen jana Jumamosi ligi kuu Bundesliga. Mabao matatu ya ushindi ya Werder Bremen yapipachikwa na …
-
Kocha wa zamani wa Ajax,Frank De Boer ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Uholanzi kwa ajili ya kujaza pengo lililoachwa na Ronald Koeman ambaye kwa sasa anainoa …
-
Beki wa kulia ambaye pia ni raia wa Ureno,Nelson Semedo ametua Wolverhampton Wanderers kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Barcelona. Kocha wa Wolves,Nuno Espirito Santo amefurahi kutua kwa beki huyo …
-
Kocha Mkuu wa West Ham United, David Moyes pamoja na wachezaji wawili wamekutwa na virusi vya Corona jana kabla ya kuanza raundi ya tatu ya mchezo wao wa Carabao Cup …
-
Kocha mkuu wa Simba SC,Sven Vandenbroeck amesema kwa sasa anakiandaa kikosi chake maalum kwa mchezo ujao wa ligi kuu bara utakaofanyika uwanja wa Mkapa dhidi ya Biashara United siku ya …
-
Kocha mkuu wa Simba Sc, Sven Vandenbroeck amemtangaza John Bocco kama nahodha wa timu hiyo na chaguo lake katika kikosi chake cha kwanza katika msimu mpya wa ligi kuu bara …
-
Kocha mkuu mpya wa Yanga Sc,Zlatko Krmpotic amepewa majukumu makubwa kwenye mkataba wake ambayo anatakiwa kuyatekeleza katika msimu unaoanza leo Septemba 6. Taarifa zinaeleza kuwa kwenye mkataba wa kocha huyo …
-
Mara baada ya kocha wa makipa Yanga Sc ,Manyika Peter kufungashiwa virago ndani ya klabu hiyo ameamua kujikita zaidi katika suala la ufugaji wakati akitafuta timu ya kuifundisha. Manyika ambaye …
-
Ofisa wa habari wa Yanga Sc ,Hassan Bumbuli amewaomba mashabiki wa Yanga Sc kujitokeza kwa wingi leo katika kuadhimisha kilele cha wiki ya wananchi ambayo itahitimishwa leo uwanja wa Benjamin …