Uongozi wa Mtibwa Sugar umefanya maboresho katika benchi lake la ufundi leo Agosti 28,kwa ajili ya msimu wa 2020/2021 unaotarajiwa kuanza Septemba 6. Mabosi hao wamemteua Zubery Rashid Katwila kuendelea …
kocha
-
-
Yanga Sc imemtambulisha kocha mpya,Zlatico Krmpotick kama kocha mkuu wa kikosi hicho akibeba mikoba ya Luc Eymael alifukuzwa kazi kwa kosa la ubaguzi. Zlatiko anatarajiwa kutua kesho Agosti 29 akiwa …
-
Yanga Sc imetoa maamuzi ya kumbadilisha kocha mpya ambaye ni mrundi,Cedric Kaze aliyetarajiwa kutua bongo siku za karibuni kujiunga na wanasoka hao ili kuwanoa tayari kwa mchuano wa Jumapili wa …
-
Azam Fc imewaongeza muda wa mikataba makocha wake katika benchi la ufundi  kwa ajili ya kuendelea kuwa ndani ya kikosi hicho kwa msimu wa 2020/21. Makocha hao ni kocha mkuu, …
-
Antonio Conte yupo kwenye hatihati ya kubebeshwa virago vyake ndani ya Inter Milan baada ya kupigwa kichapo cha mabao 3-2 na Sevilla usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Rhein Energie …
-
Rais wa Barcelona, Josep Bartomeu, amethibitisha kusajiliwa kwa mchezaji wao wa zamani Ronald Koeman kama kocha mkuu wa klabu hiyo. Koeman kwa sasa ni kocha wa timu ya Taifa ya …
-
Kocha wa zamani wa Yanga Sc, Mwinyi Zahera ametambulishwa rasmi Gwambina Fc kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo ambayo imepanda daraja msimu huu wa 2019/20 na itashiriki ligi kuu bara …
-
Juventus imethibitisha kuachana na kocha mkuu , Maurizio Sarri baada ya kudumu kwa msimu mmoja ndani ya klabu hiyo. Sarri ndani ya msimu wa 2019/20 alifanikiwa kutwaa taji la Serie …
-
Beki wa kati Abdallah Haji Shaibu ‘Ninja’ amesaini dili la miaka miwili leo Agosti 6 kuitumikia klabu ya Yanga akitokea MFK Vyskov ya Serbia. Ninja alirejea nyumbani Tanzania baada ya …
-
Kamati ya nidhamu ya shirikisho la soka Tanzania (TFF) imemfungia miaka miwili aliyekuwa kocha mkuu wa Yanga Sc , Luc Eymael kujihusiana na masuala ya soka Tanzania pia kutozwa faini …