Kocha wa zamani wa Yanga ambaye ni Mholanzi, Hans Pluijm amefungukia hatma yake ya kurejea na kukinoa kikosi hicho kwa mara ya tatu baada ya tetesi nyingi kuzagaa kuwa jina …
kocha
-
-
Baada ya Yanga kuachana na Luc Eymael ambaye alikuwa kocha mkuu wa timu hiyo wanawapigia hesabu za kasi makocha wenye uzoefu na Ligi kuu bara ambao ni Patrick Aussems kutoka …
-
Beki mtanzania anayekipiga ndani ya klabu ya Nkana nchini Zambia, Hassan Kessy yupo kwenye mjadala wa Kamati ya usajili wa Yanga na jina lake limekabidhiwa kwa Kocha Mkuu wa timu …
-
Kocha wa Tottenham Hotspurs, Mauricio Pochettino sasa yuko huru kujiunga na klabu yoyote anayoitaka bila vikwazo kutoka kwa waajiri wake baada ya marufuku ya miezi sita yaliyomzuia kufanya hivyo kukamilika. …
-
Kocha Mkuu wa zamani wa klabu ya Arsenal ,Unai Emery amesema kuwa hakuwa anahitaji saini ya Nicolas Pepe kwani alikuwa hajakomaa na hawezi kutafuta matokeo binafsi ndani ya Uwanja isipokuwa …
-
Kocha mkuu wa Yanga Sc,Luc Eymael ameweka wazi katika kikosi chake cha msimu ujao hatosajili wachezaji wengi badala yake atafanya maboresho kidogo ya kuchukua wachezaji wachache ambao watakuja kuongeza nguvu …
-
Kocha wa zamani wa klabu ya Simba sc Masoud Djuma amewapa tano klabu ya Yanga baada ya kusikia wanaisaka saini ya kiungo wa Rwanda Ally Niyonzima. Kocha huyo ambaye amewahi …
-
Kocha mkuu wa timu ya Yanga, Luc Eymael leo amefunga ndoa ya kimya kimya na mpenzi wake Patricia Abbruzzese nchini Afrika Kusini kutokana na mlipuko wa homa ya virusi vya …
-
Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF) limemfungia miezi sita na kumpiga faini ya Tsh. 500,000 Kocha wa timu ya Miembeni, Suleiman Mohamed kwa utovu wa nidhamu. Kocha huyo alishangilia …
-
Kocha Mkuu wa Yanga Luc Eymael amesema kwenye ujao wa ligi kuu dhidi ya Mbeya City, anatarajiwa kuwapa mapumziko baadhi ya nyota ambao wamecheza mfululizo Akizungumza jana baada ya ushindi …