Kocha wa zamani wa Yanga Mwinyi Zahera ameonyesha kukubaliana na mbinu za kocha mpya wa klabu ya Yanga Luc Aymael ambaye amejiunga na klabu hiyo hivi karibuni. Kocha huyo Mbeligiji …
kocha
-
-
Kocha Luc Eymael na msaidizi wake Reidoh Berdien wamesaini mkataba wa mwaka mmoja na nusu kuitumikia klabu hiyo yenye makao makuu mitaa ya Jangwani na Twiga jijini Dar es salaam. …
-
Mwekezaji wa Simba na Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi wa klabu hiyo, Mohammed Dewji (Mo) amesema tayari wamempata kocha mpya wa timu hiyo atakayetambulishwa wiki hii, huku akiwashukia wachezaji watovu …
-
Baada ya kutupwa nje ya mashindano ya Cecafa wanawake 2019 Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Queen’s Mohammed Ally salah amesema kuwa kitendo cha kikosi chao kuruhusu magoli …
-
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeingia mkataba wa mwaka mmoja na Ndayiragije Ettiene kuwa Kocha Mkuu wa Taifa Stars. Kabla ya uteuzi huo uliofanywa na Kamati ya Utendaji …
-
Kocha wa timu ya Pamba fc inayoshoriki ligi daraja la kwanza Muhibu Kahn amechana na timu hiyo baada ya kuandika barua uongozi wa kuomba kuachana na timu hiyo,Taarifa Rasmi kutoka …
-
Shirikisho la soka nchini Uganda (Fufa) limemteua Johnny Mckinstry raia wa Ireland kuwa kocha wa Timu ya taifa ya Uganda (The cranes) kwa kipindi cha miaka mitatu ijayo. Kocha huyo …
-
Kipa wa zamani wa klabu ya Yanga sc Peter Manyika ameteuliwa kuwa kocha wa makipa wa timu hiyo kuchukua nafasi ya Juma Pondamali aliyefungashiwa virago klabuni hapo. Manyika aliyeidakia pia …
-
Klabu ya Chelsea imefikia makubaliano na klabu ya Juventus juu ya kocha Maurizio Sarri kujiunga na mabingwa hao wa nchini Italia “Serie A”, makubaliano hayo yamefikiwa usiku alhamisi baada ya …
-
UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, leo umeingia mkataba wa miaka miwili na Kocha Etienne Ndayiragije, kwa ajili ya kuinoa timu hiyo kuanzia msimu …