Taarifa za ndani ya Klabu zinadai kuwa baadhi ya mastaa wa klabu hiyo walikutwa na Virusi vya homa ya mapafu(Corona) japo haikuwa imewaathiri kiasi cha kutoonyesha dalili zozote zile. Taarifa …
La liga
-
-
Klabu ya Yanga imesaini mkataba wa ushirikiano na kampuni ya La liga inayosimamia ligi kuu ya nchini Hispania jana jijini Dar es salaam kuelekea mfumo wa mabadiliko ya uendeshaji wa …
-
Ligi kuu nchini Hispania(La liga) inatarajiwa kurejea rasmi mwezi ujao kwa mujibu wa Rais wa ligi hiyo Javier Tebas huku msimu ujao ukitarajiwa kuanza Septemba 12. Bosi huyo pia alibainisha …
-
Klabu ya Yanga itasaini mkataba rasmi wa ushirikiano baina yake na wasimamizi wa ligi kuu ya Hispania(La liga) ambapo mkataba huo utakua wa ushirikiano katika maeneo mbalimbali ikiwemo namna ya …
-
Mabingwa wa La Liga,Barcelona siku ya jana walirejea kwenye uwanja wao wa mazoezi uliopo katika mji mkuu wa Catalan wakiwemo Lionel Messi ,Luis suarez na wachezaji wengine wa Barca. Barca …
-
Wachezaji wote wa Barcelona wamepimwa na hakuna aliyekutwa na virusi vya Corona ,vipimo vilichukuliwa jana wakati wakiwasili uwanjani kwa ajili ya kuanza mazoezi ya kujiandaa na ligi iliyosimama kutokana na …
-
Wachezaji wa Real Madrid wanatazamiwa kuanza mazoezi Mei 11 mwaka huu ambapo yatakuwa mazoezi binfasi yatafanyika chini ya uangalizi maalum huku yakiwa ni wachezaji na makocha wachache. Wachezaji mbalimbali wa …
-
Wakati ikidaiwa ameanza kuporomoka kiwango licha kuwa ndio anaongoza katika mbio za kuwania kiatu cha dhahabu,Meddie Kagere amewavutia wahispania ambao wanamuhitaji haraka nchini humo kujiunga na klabu yao. Timu hiyo …