Fred Felix Minziro ambaye anainoa Mbao Fc ya Mwanza amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi Julai kwenye Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) msimu wa 2019/20 akiwashinda Amri Said wa Mbeya …
ligikuu
-
-
Klabu ya Borussia Dortmund imewapa kichapo cha mabao 2-0 klabu ya Wolfsburg huko ujerumani katika uwanja wa Volkswagen Arena siku ya leo ,timu zote mbili zikisimamiwa na refa Daniel Siebert …
-
Uongozi wa klabu ya Simba umezindua rasmi Website yake (Tovuti) kwa ajili ya kutanua wigo mpana wa kutoa taarifa kwa mashabiki wake ndani na nje ya nchi. Tovuti hiyo imezinduliwa …
-
Mshambuliaji wa klabu ya Yanga,Bernard Morrison amesema kuwa miongoni mwa vyakula ambavyo anapenda kula ni ugali. Mghana huyo alitua Desemba akitokea nchini Ghana kwenye usajili wa dirisha dogo ambapo baada …
-
Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa masuala ya michezo ikiwa ni pamoja na Ligi Kuu Tanzania Bara ni ruksa kuchezwa kuanzia Juni Mosi …
-
Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Wanachama kutoka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Rahim Shabany amesema kwa wale wachezaji ambao mikataba yao inaelekea ukingoni na kumalizika mwezi huu watabaki kuwa …
-
Uongozi wa Premier League umesema kuwa upo tayari kuwaunga mkono Liverpool kutwaa taji endapo tu hali ya usalama itaruhusu kufanya hivyo katika kipindi hichi cha Covid-19. Liverpool ipo nafasi ya …
-
Uefa imeahirisha mkutano wake wa kamati ya utendaji uliopangwa kufanyika mwezi Mei 27 kwa sababu ya “nafasi wazi” kuhusu kumbi za mashindano ya mwaka ujao wa Euro 2020. Uefa imesema …
-
Vilabu vya Sweden vimeishtumu serikali yao kwa kutowapa ruhusa ya kurejea kwa ligi nchini humo kwani Ujerumani na England wameshaanza mazoezi na Bundasliga kuanza leo kucheza ligi yao rasmi. Vilabu …
-
Kocha Mkuu wa Liverpool,Jurgen Klopp amesema kuwa hakumbuki chochote juu ya klabu ya Borussia Dortmund ilipokutwaa ubingwa wa Bundesliga msimu wa 2011/12 kwani wakati wa sherehe alikuwa amelewa chakari mpaka …