Ligi Kuu ya England inaweza kurejea Juni 8 ambapo kutakuwa na maandalizi mafupi ya muda wa wiki tatu kwa timu kushiriki na wachezaji pia watawekwa karantini kabla ya kuanza kucheza …
ligikuu
-
-
Kiungo wa Yanga Sc ,Haruna Niyonzima amelazimika kuwavuta karibu kwenye mazoezi ya pamoja wakongwe wenzake ,Juma Kaseja na Shabani Kado ikiwa ni mikakati mahususi ya kujiandaa na tamko la shirikisho …
-
Ndanda FC imekabiliwa na ukata wa kifedha tangu serikali iliposimamisha ligi zote Tanzania Bara kutokana na janga la Corona hivyo klabu hiyo imeliomba Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) liwakopeshe fedha …
-
Mshambuliaji wa Manchester City, Sergio Aguero anaweza kusepa ndani ya kikosi hicho pale mkataba wake utakapofika tamati mwaka 2021 na inaelezwa kuwa ana mpango wa kurejea kwenye klabu yake iliyomkuza …
-
Wachezaji wote wa Barcelona wamepimwa na hakuna aliyekutwa na virusi vya Corona ,vipimo vilichukuliwa jana wakati wakiwasili uwanjani kwa ajili ya kuanza mazoezi ya kujiandaa na ligi iliyosimama kutokana na …
-
Mshambuliaji namba moja ndani ya Barcelona,Lionel Messi bado yupo kwenye harakati za kuwashawishi viongozi wa klabu yake kuipate saini ya mchezaji wa Paris Saint-Germain na timu ya taifa ya Brazil,Neymar …
-
Wakati England na baadhi ya timu zikianza mazoezi kwa ajili ya kuangalia mustakabali wa kuendelea kwa msimu huu, timu za Hispania zikiwemo Madrid na Barcelona zenyewe mazoezi zitaanza Jumatatu ijayo. …
-
PSG imesema kuwa itacheza michezo yake ya Ligi ya mabingwa Ulaya nje ya Ufaransa kwa kuwa nchi hiyo imezuia michezo hadi Septemba kutokana na virusi vya Corona ambavyo vimesambaa duniani …
-
Juan Mata ni mhispania ambaye anaitumikia timu inayoshiriki ligi kuu England,Manchester United kama beki pia anacheza ndani ya tamu ya Taifa ya Hispania. Nyota huyo aliyesajiliwa ndani Manchester United mwaka …
-
Serikali ya Ufaransa imezuia kuendelea kwa michezo hadi Septemba mwaka huu, huku Waziri Mkuu wa Ufaransa, Edouard Philippe akisema msimu wa 2019/20 umekwisha kwani hawawezi kuingia uwanjani bila ya mashabiki …