Rais wa klabu ya Olympique Lyon ,Jan Michael Aulas amewambia wachezaji wote wa timu hiyo kufikia ijumaa mchezaji yeyote aliepo kwenye timu hiyo anayetaka kuondoka aondoke kabla ya siku hiyo. …
lyon
-
-
Bayern Munich imeitungua mabao 3-0 Lyon kwenye mchezo wa nusu fainali hatua ya Ligi ya Mabingwa Ulaya siku ya jana. Bao la kwanza na la pili lilipachikwa na Gnabry dakika …
-
PSG wamefanikiwa kuibuka wababe na kutinga mazima hatua ya fainali ligi ya mabingwa ulaya baada ya kushinda mabao 3-0 dhidi ya Leipzig mjini Lisbon siku ya jana katika mchezo wa …
-
Kikosi cha Amiens nchini Ufaransa nacho kimeanza mchakato wa kisheria dhidi ya maonevu baada ya kuteremshwa daraja kwenye ligi kuu ya Ufaransa (Ligue 1) msimu huu huku Paris Saint-Germain (PSG) …
-
Mshambuliaji wa wakidachi ,Memphis Depay ameripotiwa anaweza kuhama Olympique Lyon baada ya timu hiyo kushindwa kufuzu michuano ya Ulaya kutokana na msimu wa Ligue 1 kusitishwa na bingwa kutangazwa PSG …
-
Lyon wamepanga kukata rufaa ya kupinga maamuzi ya kuhitimishwa kwa Ligue 1 mapema kitu ambacho kimeifanya klabu hiyo kushindwa kufuzu mashindano ya Ulaya (European Football) kwa mara ya kwwnza tangu …
-
Juventus wameinamishwa kichwa chini baada ya kufungwa bao 1-0 na Lyon katika mchezo uliosimamiwa na refa Jesus Gil kutoka Spain katika uwanja wa Groupama Stadium. Bao la ushindi wa kipekee …