Rasmi klabu ya Yanga sc imetangaza kuachana na Mkuu wa Idara ya Habari ya klabu hiyo Hassan Bumbuli baada ya mkataba wake kumalizika na klabu kuamua kutoendelea nae. Yanga sc …
mabadiliko
-
-
Rais wa klabu ya Yanga sc Eng.Hersi Said aliyechaguliwa hivi karibuni ameanza kuipangua safu ya uongozi wa klabu hiyo ili kutengeneza safu yake ambayo atashirikiana nayo katika kipindi chake cha …
-
Klabu ya soka ya Yanga imeingia mkataba na makampuni ya Kilinet na N-Card kwaajili ya utengezaji wa kadi za wanachama wa klabu hiyo ikiwa ni sehemu ya hatua za awali …
-
Mchakato wa mabadiliko katika klabu ya Yanga sc imefikia hatua nzuri baada ya rasimu yenye mabadiliko kutoka La liga kukabidhiwa kwa mshauri mkuu wa klabu hiyo Senzo Mazingiza tukio lililofanyika …
-
Uongozi wa klabu ya Yanga umesema mchakato wa mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa klabu hiyo utakamilishwa mwezi Mei mwaka huu. Wapenzi, Wanachama na Mashabiki wa Yanga wamekuwa na shauku …
-
Unamkumbuka yule mreno wa Mabadiliko alikuja nchini kuja kuandaa mchakato mzima wa klabu hiyo kuelekea hatua ya mabadiliko ya umiliki kwenda mfumo wa hisa? Basi habari ikufikie kokote ulipo kwamba …