Wakati England na baadhi ya timu zikianza mazoezi kwa ajili ya kuangalia mustakabali wa kuendelea kwa msimu huu, timu za Hispania zikiwemo Madrid na Barcelona zenyewe mazoezi zitaanza Jumatatu ijayo. …
Tag:
madrid
-
-
Mshambuliaji wa Atletico Madrid Antoine Griezmann atajiunga na barcelona msimu ujao baada Mtendaji mkuu wa club ya Atletico Madrid kuthibitisha kuwa suala hilo lilishafikiwa muafaka tangu machi mwaka huu na …
-
Imebainika kwamba mshambuliaji wa Atletico Madrid Antoine Griezmann atajiunga na Barcelona msimu ujao baada ya kuitumika klabu hiyo ya jijini Madrid kwa miaka mitano kwa mafanikio makubwa. Hayo yamethibitishwa na …
-
Kocha wa zamani wa timu ya taifa ya hispania na klabu ya Real Madrid Julen Lopetegui ameteuliwa kuwa meneja wa timu ya Sevilla kwa mkataba wa miaka mitatu kuanzia jana. …