Bosi wa klabu ya Simba sc Mohamed Dewji amemteua Crescentius Magori kuwa mshauri wake mkuu baada ya kuridhishwa na kazi yake aliyoifanya kwa mara ya kwanza tangu ameteue katika cheo …
magori
-
-
Aliyewahi kuwa mtendaji mkuu (CEO) wa klabu ya Simba kwa Sasa Mshauri wa Mohamed Dewji Mo (Mwekezaji wa Simba), Crescentuis Magori amesema ndani ya Klabu ya Simba Kuna wachezaji wanaihujumu …
-
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Mohammed Dewji amemteua aliyekuwa Afisa Mtendaji Mkuu, Crescentius Magori kuwa Mshauri Binafsi wa Mwenyekiti wa Bodi. Magori ambaye amewahi kuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho …
-
Klabu ya Simba sc imemtambulisha rasmi Ofisa mtendaji mkuu mpya ambaye atachukua nafsi ya Crecentious Magori ambaye mkataba wake wa miezi sita umeisha. Bosi huyo mpya wa timu hiyo aliyetambulishwa …
-
Beki wa klabu ya Simba Mganda Juuko Murshid ameweka ngumu kuripoti klabuni kujiunga na timu katika kambi ya maandalizi ya msimu akishinikiza kuachwa ajiunge na timu nyingine. Mchezaji huyo aliyeiongoza …