Winga raia wa Congo Chico Ushindi amerejea kutoka majeruhi klabuni Yanga sc baada ya kuumia misuli katika mchezo dhidi ya Kmc ambao klabu yake iliibuka na ushindi wa mabao 2-0 …
majeraha
-
-
Winga wa klabu ya Yanga sc Jesus Moloko Ducapel amefanyiwa upasuaji mdogo wa goti la kulia kutokana na kupata majeraha siku kadhaa zilizopita katika mchezo wa kombe la shirikisho dhidi …
-
Wakati kikosi cha Yanga sc kikitarajiwa kuingia uwanjani muda mfupi ujao imebainika mastaa tisa wataukosa mchezo huo wa hatua ya 16 ya kombe la shirikisho la Azam Sports utaofanyika uwanja …
-
Omary Kindamba ambaye ni beki wa Ihefa Fc atakuwa nje kwa muda wa wiki tatu hadi nne kutokana na kupata majeraha ya mbavu baada ya kuanguka vibaya alipokuwa akiitetea timu …
-
Kiungo mkabaji wa Simba Sc, Gerson Fraga atakuwa nje kwa wiki tatu hadi nne baada ya kupata majeraha ya goti siku ya Jumapili ilipocheza na Biashara United. Taarifa hiyo imethibitishwa …
-
Sasa ni rasmi kuwa beki wa klabu ya Simba sc Shomari Kapombe ataukosa mchezo wa Julai 12 baina ya watani wa jadi Simba na Yanga kuwania hatua ya kuingia fainali …
-
Kiungo mshambuliaji wa Simba Sc, Miraji Athumani ‘Sheva’ ameonekana kuanza kurejea kwenye ubora wake akitokea kwenye maumivu ya misuli yaliyomsababishia kukaa nje ya uwanja kwa takribani miezi miwili ambapo maumivu …
-
Harry Kane anaamini kuwa atakuwa tayari kabisa kurudi uwanjani pindi tu ligi itakaporejea,kwani apo awali alipata jeraha lililomuweka nje ya dimba kabla ya ligi kusimamishwa kutokana na Janga la Corona. …
-
Staa wa Real Madrid Eden Hazard atakua nje ya uwanja kwa muda wa miezi mitatu akiuguza majeraha baada ya kufanyiwa upasuaji wa enka jijini Dallas nchini Marekani. Upasuaji huo uliofanyika …
-
Staa wa klabu ya Yanga aliyekua anasumbuliwa na maumivu ya nyama za paja Tariq Seif Kiakala amerejea mazoezini kujiunga na wenzake kujiandaa na mzunguko wa pili wa ligi kuu Tanzania …