Baadhi ya mastaa wa klabu ya Yanga sc waliokua majeruhi wamerejea klabuni hapo kutoka katika majeraha huku tayari baadhi yao wakiwa wameungana na kikosi hicho katika mazoezi kujiandaa na mchezo …
majeruhi
-
-
Wachezaji watatu wa klabu ya Yanga sc waliokua majeruhi wa muda mrefu Yacouba Sogne,Kibwana Shomari na Abdalah Shaibu wamerejea mazoezini baada ya kuwa majeruhi wa muda mrefu kikosini humo. Miezi …
-
Straika wa Simba Sc ,Meddie Kagere yuko hatarini kuikosa mechi ya watani wa jadi dhidi ya Yanga Sc kutokana na majeraha yanayomsumbua yatakayomfanya kukaa nje ya uwanja kwa takribani wiki …
-
Klabu ya Simba imebainisha kuwa wachezaji wake wanne wa kikosi cha kwanza wanasumbuliwa na majeraha mbalimbali kipindi hiki. Wachezaji hao ni mabeki Erasto Nyoni aliyeumia mguu katika mechi dhidi ya …
-
Mabingwa wa Kihistoria wa Ligi Kuu Tanzania Bara , Yanga SC kesho wanashuka kwenye dimba la Nangwanda Sijaona Mtwara kuvaana na Ndanda SC huku wakikosa huduma za wachezaji wao wanane …
-
Staa wa Barcelona Lionel Messi ameipasua kichwa klabu hiyo baada ya kucheza dakika 45 tu kisha kuumia kwa mara nyingine katika mchezo wa jana dhidi ya Villareal mchezo wa ligi …
-
Licha ya kusajiliwa kwa mbwembe na majigambo mengi kwa wanajangwana mpaka sasa Issa Bigirimana hajaonyesha kile ambacho wanayanga wengi walikitarajia kutoka kwake licha ya kuwahi kuungana na timu mkoani Morogoro …
-
Licha ya kukabiliwa na mchezo mgumu ugenini dhidi ya Wolves kocha wa Chelsea Frank Lampard ana wakati mgumu kutokana na mastaa takribani nane wa kikosi cha kwanza kuwa majeruhi. Mastaa …
-
Kiungo mshambuliaji wa Tanzania, Ibrahim Ajibu Migomba yuko hatarini kuukosa mchezo wa marudiano dhidi ya Kenya Jumapili mjini Nairobi kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika …
-
Beki wa Simba sc Shomari Kapombe amesaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kusalia klabuni hapo baada ya mkataba wa awali wa miaka miwili kumalizika mwezi huu. Beki huyo mwenye uwezo …