Klabu ya Real Madrid imeshindwa kutamba mbele ya Manchester City baada ya kukubali kipigo cha mabao 4-0 na kutolewa katika michuano ya klabu bingwa barani ulaya kwa jumla ya mabao …
man city
-
-
Klabu ya Manchester City imezishinda klabu ya Barcelona na Real Madrid kuwania saini ya mshambuliaji wa klabu ya Borrusia Dortmund Erlin Halaand baada ya kukubaliana na klabu ya Borrusia Dortmund …
-
Mabingwa watetezi wa ligi kuu soka nchini Uingereza Manchester city wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya mabingwa watetezi wa klabu bingwa Ulaya Chelsea kwenye mchezo wa ligi kuu ya …
-
Klabu ya Barcelona imefikia makubaliano na Manchester City kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Hispania Ferran Torres kwa ada ya paundi milioni 46.7 ambayo baadae itapanda hadi kufikia paundi milioni 55 …
-
Taarifa zinaeleza kuwa mshambuliaji wa Barcelona,Lionel Messi aliitumia barua klabu yake jana Jumanne, ambapo barua hiyo ilikuwa inaeleza anataka kutumia kifungu kilichopo katika kandarasi yake ili kuweza kuondoka katika klabu …
-
Ratiba ya Premier League kwa msimu wa 2020/21 imetolewa leo Alhamisi ambapo mechi zitaanza kuchezwa Septemba 12, mwaka huu kwa ufunguzi wa mechi sita huku Septemba 14 zitachezwa mechi mbili. …
-
Timu inayozidi kuilinda nafasi yake ya pili kwenye msimamo wa ligi kuu England ,Manchester City imewapiga mabao 2-0 AFC Bournemouth katika uwanja wa Etihad Stadium huku mechi ikisimamiwa na refa …
-
Mahakama ya usuluhishi ya michezo ( CAS ) wametengua kifungo cha Manchester City cha kucheza mashindano ya Ulaya msimu ujao ambapo awali walifungiwa miaka miwili . Klabu hiyo iliwasilisha shauri …
-
Rais wa zamani wa Barcelona, Joan Laporta anampango wa kumrudisha aliyewahi kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo,Pep Guardiola ambaye yupo Man City kwa sasa. Laporta ambaye yupo mbioni kuwania kiti …
-
Nyota wa kikosi cha Manchester City ambao ni mabingwa watetezi wa kombe la ligi kuu England,David Silva amesema kuwa hatakuepo ndani ya timu hiyo msimu ujao wa 2020/21 kwani anaweza …