Ratiba ya Premier League kwa msimu wa 2020/21 imetolewa leo Alhamisi ambapo mechi zitaanza kuchezwa Septemba 12, mwaka huu kwa ufunguzi wa mechi sita huku Septemba 14 zitachezwa mechi mbili. …
man united
-
-
Klabu ya Manchester United imefanikiwa kumaliza ligi kuu nchini Uingereza kwa kishindo baada ya jana kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Leicester City katika uwanja wa King …
-
Kiungo wa klabu ya Manchester United Scott Mctominay amesaini mkataba mpya wa kuendelea kusalia klabuni hapo mpaka mwaka 2025 huku kukiwa na kipengele cha kuongeza mwaka mmoja zaidi. Kinda  huyo …
-
Mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza kati ya Tottenham Hotspur dhidi ya Manchester United umemalizika kwa sare ya bao moja na kuongeza matumaini ya kushiriki michuano ya klabu bingwa barani …
-
Kiungo wa kati katika klabu ya Manchester United ,Bruno Fernandes alijiunga na wahisani wengine katika kupambana na virusi vya Corona kwa kusambaza msaada wa chakula Ureno. Fernandes mwenye umri wa …
-
Inter Milan imeingia kwenye bato la timu nne zinazopambana kumng’oa Paulo Pogba huko Manchester United kwenye usajili wa msimu ujao. Nyota huyo Mfaransa anaonekana kuwa mguu ndani nje Man United …
-
Mshambuliaji wa Manchester United ,Marcus Rashford amesema alivumilia kipindi kigumu chini ya aliyekuwa meneja wa klabu hiyo ya Old Traford,Jose Mourinho na kufanikiwa kuwa mchezaji bora. Mourinho alikuwa meneja wa …
-
Mshambuliaji wa klabu ya Arsenal, Pierre Emerick Aubameyang yupo kwenye hesabu za kuwindwa na Barcelona na Manchester United kwani uwezo wake wa kutupia mabao umewavutia Man United inayoshiriki Ligi Kuu …
-
Ushindi walioupata Manchester United wa maba 2-0 dhidi ya Manchester City umeitengenezea nafasi kubwa Liverpool ya kutwaa ubingwa kwani atakuwa na mechi mbili tu ili kutanga ubingwa wake wa kwanza …
-
Kocha wa klabu ya Manchester United Olle Gunnar Solskjaer ameendeleza ubabe kwa kocha wa Chelsea Frank Lampard baada ya jana kuongoza Manchester United kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 katika …