Manchester United huenda wakamnasa straika asiye na furaha Beyern Munich, Roberto Lewandowski ambaye dili lake la kwenda Hispania kwenye klabu ya Barcelona linaonekana linaenda kufeli. Awali straika huyo aliweka wazi …
man utd
-
-
Kiungo Paul Pogba imethibitika ataondoka katika klabu ya Manchester United mwishoni mwa msimu huu baada ya mkataba wake kumalizika ambapo inatajwa kuwa tayari yuko kwenye mazungumzo ya kujiunga na Juventus …
-
Klabu ya Arsenal imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Man united katika mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza uliofanyika katika uwanja wa Emirates jijini London. Arsenal waliandika bao …
-
Klabu ya Manchester United imeanza upya kusuka kikosi cha msimu ujao baada ya kumtangaza Erik Ten Hag kuwa kocha mpya wa klabu hiyo akichukua nafasi ya Ralf Rangnick ambaye anakuwa …
-
Ni aibu,ndio neno fupi unaweza kusema kutokana na klabu ya Manchester United kupokea kipogo cha mabao 4-0 kutoka kwa mahasimu wao Liverpool katika mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza uliofanyika …
-
Klabu ya Manchester united imefikia makubaliano ya kiasi cha paundi milioni 10 na Marseille kwaajili ya kumchukua kiungo mkabaji Boubacar Kamara.Huo utakuwa usajili wa kwanza kwa kocha mpya wa muda …
-
Benchi ya ufundi la Manchester United lililokuwa chini ya kocha Ole Gunnar Solskjaer limeendelea kupukutika baada ya aliyekuwa kocha msaidizi Kieran McKenna naye kuondoka na kwenda kujiunga na klabu ya …
-
Wiki moja baada ya kutimuliwa kwa kocha Olle Gunnar Solskjaer katika klabu ya Manchester United tayari uongozi wa klabu hiyo tajiri upo katika hatua za mwisho kumalizana na kocha Ralf …
-
Klabu ya Manchester United imeibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Istanbul BasakSeher ya nchini Uturuki katika mchezo wa ligi ya mabingwa barani Ulaya usiku wa kuamkia leo. Bruno …
-
Klabu ya Manchester United imeendelea kuwa na matokeo ya kusuasua baada ya jana kukubali kipigo cha mabao 2-1 dhidi ya Instabull BB katika mchezo wa kundi H katika michuano ya …