Kipa wa klabu ya Simba Sc Aishi Manula amekua ni miongoni mwa magolikipa wa klabu hiyo waliosafiri na msafara wa timu hiyo kuelekea Visiwani Zanzibar kwa ajili ya mechi ya …
manula
-
-
Golikipa wa Simba sc na Timu ya Taifa ya Tanzania Aishi Manula ataikosa michezo miwili ya robo fainali ya Klabu yake ya Simba dhidi ya Al Ahly kutokana na kupata …
-
Kocha wa Simba sc Roberto Oliveira ameonyeshwa kufurahishwa na kiwango cha Aishi Manula tangu ajiunge rasmi na mazoezi ya timu hiyo baada ya kuwa nje kwa takribani miezi sita akijuguza …
-
Sasa ni rasmi klabu ya Simba sc imetangaza kurejea kwa kipa Aishi Manula aliyekua na majeraha ya muda mrefu ambapo alikaa nje ya uwanja kwa kipindi cha miezi takribani sita …
-
Hatimaye golikipa namba moja wa Simba sc na Timu ya Taifa ya Tanzania Aishi Manula amefanyiwa upasuaji goti salama ili kutibu majeraha yake yaliyokua yakimsumbua na kusababisha kukosa michezo kadhaa …
-
Kipa namba moja wa timu ya Taifa ya Tanzania na klabu ya Simba Aishi Manula amempongeza staa wa klabu ya Yanga Benard Morrison baada ya kumfunga bao katika mechi baina …
-
Kipa wa timu ya Simba sc Aishi Manula amesisitiza kuwa ataendelea kufungwa endapo atakaa langoni kuidakia timu hiyo katika michezo mbalimbali. Manula alibainisha hayo wakati akimjibu shabiki mmoja katika mtandao …
-
Kocha msaidizi wa timu ya taifa Juma Mgunda hatimaye amevunja ukimya baada ya kamua kufunguka juu ya kukosekana kwa golikipa wa klabu ya Simba sc Aishi Manula katika kikosi cha …
-
Imeelezwa kuwa kipa wa klabu ya Simba, Aishi Manula amesema anaheshimu maamuzi ya kocha Mrundi, Ettiene Ndayiragije kutomuita katika kikosi cha Taifa Stars. Siku kadhaa zilizopita Ndayiragije alitangaza kikosi cha …
-
Kocha wa timu ya Tanzania Ettiene Ndayiragije ameita kikosi cha wachezaji 28 kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Rwanda oktoba 14 jijini Kigali nchini Rwanda ambapo ameendelea kuwaacha …