Mabosi wa klabu ya Yanga sc wanakuna kichwa kufuatia mshambuliaji Fiston Mayele kupokea ofa ya mshahara mnono kutoka klabu ya Rs Berkane inayonolewa na kocha mkongo Florent Ibenge ambaye amevutiwa …
Mayele
-
-
Staa wa klabu ya Yanga sc Fiston Mayele amefunguka sababu ya kutofunga bao lolote katika mechi nne za ligi kuu ni kutokana na mabeki kumkamia sana ili asifunge na kushangilia …
-
Katika mchezo wa ligi kuu nchini baina ya Azam Fc dhidi ya Yanga sc mastaa wa Yanga sc pamoja na kocha Nasreddine Mohamed Nabi walikabidhiwa tuzo zao walizoshinda kama kocha …
-
Ndio msemo uliozagaa kwa mashabiki wa Yanga sc wakiwatambia mashabiki wa Simba sc baada ya kuibuka na alama tatau muhimu katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam Fc uliofanyika …
-
Mshambuliaji wa klabu ya Yanga sc Fiston Mayele amekabidhiwa ng’ombe wake aliyeahidiwa na shabiki wa klabu hiyo baada ya mchezo dhidi ya Mtibwa sugar ambapo Yanga sc iliibuka na ushindi …
-
Klabu Ya Kaizer Chiefs Ya Afrika Kusini wanamuhitaji Mshambuliaji Hatari wa klabu ya Yanga Fiston Kalala Mayele (27) kama mbadala wa Samir Nurkovic (29) Raia wa Ambaye anaweza kuachwa ifikapo …
-
Mchezaji wa klabu ya Yanga sc Fiston Kalala Mayele ameng’ara katika tuzo za wachezaji bora wa ligi kuu nchini baada ya kushinda tuzo ya mchezaji bora wa mwezi januari huku …
-
Klabu ya Yanga sc imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mbao Fc katika mchezo wa kombe la shirikisho la Azam Sports uliofanyika katika uwanja wa Ccm Kirumba jijini …