@mayelefiston 💪🏻🔥 2

Pyramids FC yakataa kumuuza Mayele: Hatima ya Fiston Mayele yazidi kuzua gumzo dirisha la usajili

Klabu ya Pyramids FC ya Misri imeendelea kusimama kidete katika msimamo wake wa kumhifadhi mshambuliaji wao tegemeo, Fiston Mayele, licha ya kuendelea kuwepo kwa uvumi mzito wa usajili unaomhusisha na vilabu mbalimbali barani Afrika na Mashariki ya Kati. Katika dirisha la usajili ambalo limejaa presha na minong’ono, kauli ya klabu hiyo imekuwa wazi kuwa Pyramids…

Soma Zaidi
Screenshot 20250605 210318 Instagram

Pyramids Fc Yakomaa na Mayele

Klabu ya soka ya Pyramid Fc ya nchini Misri imeendelea kumshawishi mshambuliaji Fiston Mayele kusaini mkataba mpya ili kuendelea kusalia klabuni hapo baada ya kuridhishwa na kiwango chake msimu huu. Kwa mujibu wa mwanahabari Kutoka nchini Misri, Khaled El Ghandour, klabu hiyo imewasilisha ofa mpya ya mkataba kwa wawakilishi wa Fiston Mayele ambayo inaripotiwa kuwa…

Soma Zaidi
Screenshot 20250602 152516 Instagram

Mayele Abeba Tuzo Cafcl

Mshambuliaji Fiston Mayele ameibuka mshindi wa tuzo ya mfungaji bora wa michuano ya klabu bingwa barani Afrika (Cafcl) baada ya kufunga mabao sita akiwaacha Emam Ashour wa Al Ahly na Ibrahim Adel wa Pyramids wenye mabao matano kila mmoja. Fiston Mayele amewapiku wenzake baada ya kufunga bao la utangulizi kwa Pyramids kwenye mchezo wa Fainali…

Soma Zaidi
34B294EE 4BF0 4732 92FE 15F5F7E7B542

Mayele Aomba Kuondoka Pyramids

Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Yanga sc Fiston Mayele  amewasilisha barua kwenye Menejiment ya klabu ya Pyramids  kwa ajili ya kuhitaji kusitishiwa mkataba wake ili akapate changamoto mpya sehemu nyingine. Taarifa kutoka ukurasa wa  Michezo wenye makazi yake Saudi Arabia Zoal_Sport imeripoti kuwa Fiston Kalala Mayele ameomba kusitisha mkataba wake na klabu hiyo kutokana…

Soma Zaidi
Mayele

Mayele Apenya Afrika

Mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Fiston Mayele ambaye kwasasa anakipiga Pyramids Fc ya nchini Misri ameingia tatu bora katika tuzo ya mchezaji wa mashindani CAF akiburuzana na staa wa Al Ahly, Percy Tau na Petter Shalulile anayekiwasha Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini. Staa huyo raia wa Congo DRC amefanikiwa kuingia tatu bora baada ya kuwa…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks