TIMU ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake ‘Kilimanjaro Queens’ leo imeanza kwa kishindo michuano ya CECAFA uwanja wa Chamazi kwa ushindi wa mabao 9-0 dhidi ya Sudan Kusini. Mchezo huu …
mechi
-
-
Licha ya kupigwa faini na bodi ya ligi baada ya kutovaa nadhifu,Kocha wa Yanga sc Mwinyi Zahera amefungiwa kutokaa katika benchi la timu hiyo katika mechi tatu mfululizo. Adhabu hiyo …
-
Kuna taarifa za chinichini zinadai klabu ya Yanga sc imempa mechi tatu kocha Mwinyi Zahera ili kuamua hatima yake endapo atashindwa kuipatia ushindi timu hiyo katika mechi hizo. Taarifa hizo …
-
Achana na taarifa za mgomo zinazoendelea Jangwani,Fowadi ya timu hiyo ni hatari baada ya kushinda mabao 19 ndani ya mechi tatu huku Mnyarwanda Patrick sibomana,Mrisho Ngasaa wakipachika mabao ya kutosha …
-
Timu ya As Vita ya nchini Kongo iliyokua ije nchini kumenyana na Yanga sc katika siku ya kilele cha tamasha la wiki ya mwananchi imeahirisha kuja nchini kucheza na wanajangwani …
-
Mshambualiaji wa Brazil Neymar Jr ataikosa michuano ya kombe la shirikisho barani America maarufu kama Kopa Amerika baada ya kuumia kifundo cha mguu wake wa kulia katika mchezo wa kirafiki …