Klabu ya Yanga sc imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 mchezo wa kirafiki dhidi ya Mlandege Fc kutoka visiwani Zanzibar uliofanyika katika uwanja wa Chamazi Complex jijini Dar es salaam. …
Tag:
mlandege
-
-
Timu ya Yanga sc leo jioni itashuka uwanjani kucheza na timu ya Mlandege ya visiwani Zanzibar katika maandalizi ya kujiandaa na mchezo wa klabu bingwa barani Afrika dhidi ya Mwandege …