Mchezaji wa zamani wa Yanga Sc, David Molinga ameanza mazoezi na timu yake mpya ya Zesco ambayo amejiunga nayo msimu huu wa 2020/21 baada ya kuagana na kikosi cha Yanga …
molinga
-
-
Mshambuliaji wa Yanga sc David Molinga atajiunga na klabu ya RS Berkane inayoshiriki Ligi Kuu nchini Moro mara tu mkataba wake utakapomalizika mwishoni mwa msimu huu. Kwa mujibu wa Taarifa …
-
Straika wa klabu ya Yanga David Molinga ameibuka shujaa katika mchezo dhidi ya Namungo Fc baada ya kusawazisha mabao mawili na kuifanya mechi kumalizika kwa sare ya 2-2 katika mchezo …
-
Kocha wa klabu ya Yanga Luc Eymael pamoja na mshambuliaji David Molinga wamepanda ndege kuelekea mjini Shinyanga kuwavaa Mwadui Fc kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania bara utakaofanyika hapo kesho. …
-
Mshambuliaji wa klabu ya Yanga David Molinga amegoma kusafiri na timu kwenda mkoani Shinyanga kucheza na Mwadui kwa kudai kuwa timu hiyo inapendelea baadhi ya wachezaji. Molinga amelalamika kwa madai …
-
Mastaa wa klabu ya Yanga David Molinga na Yikpe Gnamien wameingia matatizoni baada ya kukutwa na uzito uliopitiliza baada ya kurejea mazoezini na timu wiki hii. Mastaa wote wa klabu …
-
Ni kama zali la mentali baada ya mshambuliaji wa Yanga David Molinga kuponea chupuchupu kutemwa baada ya kurejeshwa kikosini dakika za mwisho wakati wa dirisha la usajili lililofungwa wiki hii. …
-
Sasa ni rasmi Uongozi wa klabu ya Yanga utaachana na Strika wao Mkongomani  David Molinga Falcao na nafasi yake kuchuKuliwa na Strika kutoka Tp Mazembe Owe Bonganya baada ya uongozi …
-
Mabao ya Patrick Sibomana na David Molinga yalitosha kuipa ushindi Yanga katika mchezo wa ligi kuu nchini dhidi ya Alliance uliofanyika katika uwanja wa Ccm Kirumba Mwanza. Mabao ya dakika …
-
Pamoja na kusuasua kwenye kuzifumania nyavu katika michezo ya hivi karibuni, mshambuliaji wa Yanga David Molinga amewatoa hofu mashabiki wa timu hiyo akiwahakikishia kuwa atauwasha moto mechi ijao Jana katika …