Winga machachari wa klabu ya Simba sc Mghana Benard Morrison alikamatwa na polisi baada ya mchezo dhidi ya Yanga sc uliofanyika katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam. …
morrison
-
-
Viongozi wa klabu ya Simba sc katika kuelekea mechi ya hatua ya robo fainali ya kombe la shirikisho dhidi ya Orlando Pirates ya Afrika ya kusini walikua na jitihada za …
-
Winga hatari Benard Morrison amekubali yaishe baada ya kuandika barua ya kuomba msamaha kwa klabu hiyo kutokana na kosa la utovu wa nidhamu uliosababishwa asimamishwe na klabu hiyo. Morrison baada …
-
Baada ya kusimamishwa kwa tuhuma za utovu wa nidhamu ndani ya klabu ya Simba sc na kutakiwa kuandika barua ya maelezo kwa Afisa Mtendaji mkuu wa klabu ya Simba sc …
-
Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga sc Frederick Mwakalebela ameliibua tena upya suala la kesi ya winga Benard Morrison baada ya kuwa na ukimya wa muda mrefu kwa Shirikisho la …
-
Yanga Sc wamekanusha taarifa za mtandaoni zilizoenea kuwa wamelifuta jina la mchezaji wao wa 28,Benard Morrison kwenye orodha ya wachezaji wa msimu wa 2020/2021. TFF iliamua kesi hiyo kwa kuliondoa …
-
Mchezaji namba 28 aliyetambulishwa na Yanga Sc siku ya wananchi Agosti,31 Benard Morrison sio tena mchezaji wa klabu ya Yanga baada ya shirikisho la soka Tanzania (TFF) kumtambulisha rasmi kama …
-
Ratiba mpya ya msimu ujao wa ligi kuu Tanzania bara umewapa miezi miwili wachezaji wapya waliosajiliwa Simba Sc na Yanga Sc kabla ya kukutana katika mechi ya watani ,uwanja wa …
-
Kesi ya Benard Morrison na Yanga Sc imeisha baada ya mchezaji huyo kushinda kesi yake kuhusu mkataba wake dhidi ya timu ya Yanga baada ya kuonekana kuwa mkataba huo una …
-
Kiungo mshambuliaji wa Yanga,Benard Morrison ametambulishwa rasmi leo ndani ya kikosi cha Simba ukiwa ni usajili wa kwanza kwa ajili ya msimu wa 2020/2021. Thamani ya dau lake linatajwa kuwa …