Morrison Bado Sana
Pamoja na shauku ya mashabiki wa klabu ya Kengold Fc kumuona uwanjani mshambuliaji wao mpya Bernard Morrison itawalazimu kusubiri kwa muda kutokana na staa huyo kutokua fiti kutumika katika michezo ya ligi kuu nchini. Punde tu baada ya kusajiliwa kocha wa timu hiyo Vladislav Heric aliamuru staa huyo kupewa mazoezi maalumu ili kurejesha utimamu wake…
