Kocha mkuu wa Simba SC,Sven Vandenbroeck amesema kwa sasa anakiandaa kikosi chake maalum kwa mchezo ujao wa ligi kuu bara utakaofanyika uwanja wa Mkapa dhidi ya Biashara United siku ya …
mtibwa sugar
-
-
Uongozi wa Mtibwa Sugar umefanya maboresho katika benchi lake la ufundi leo Agosti 28,kwa ajili ya msimu wa 2020/2021 unaotarajiwa kuanza Septemba 6. Mabosi hao wamemteua Zubery Rashid Katwila kuendelea …
-
Timu ya Mtibwa Sugar imeshindwa kuibuka na ushindi katika uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro baada ya kulazimishwa sare na klabu ya Yanga sc. Makosa yabeki Said Juma Makapu yaliyompa nafasi …
-
Katika mchezo wa ligi kuu bara leo uliochezwa mkoani Morogoro uwanja wa Gairo umewapandisha nafasi ya 13 Mtibwa Sugar wakiwa na pointi 41 baada ya kuwafunga Azam Fc bao 1-0. …
-
Shirikisho la Soka hapa nchini Tff limeshauriwa kuzipatia mgao wa fedha vilabu vya ngazi za juu hapa nchini kutoka kwenye fedha watakazozipata kutoka FIFA. Mkurugenzi wa Mtibwa Sugar ,Jamal Baiser …
-
Kocha msaidizi wa Mtibwa Sugar ,Patrick Mwangata amewaasa wachezaji nchini kumuiga nahodha wa Taifa Stars,Mbwana Samatta katika suala la nidhamu na uvumilivu pale wanapopata maisha ya soka nje ya nchi. …
-
Kocha mkuu wa Mtibwa Sugar ,Zuberi Katwila ameahidi kurudi kwa kasi na kutoa ushindi wa hali ya juu pindi ligi kuu bara itakaporejea baada ya kusimamishwa na serikali ili kupambana …
-
Mtibwa Sugar waanza safari yao leo ya kurejea Morogoro baada ya mchezo wao dhidi ya Coastal union ya Tanga kusitishwa kutokana na ligi kusimamishwa na waziri mkuu Kassim Majaliwa siku …
-
Ligi kuu Tanzania Bara, ligi daraja la kwanza, ligi ya wanawake na masuala yote ya michezo yanayohusisha mjumuiko wa watu imesitishwa kuanzia leo na Serikali. Hii ni kutokana na kuisaidia …
-
Raisi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia ameelekeza Kamati ya Uongozi ya Bodi ya Ligi Kuu kuitisha kikao cha dharura kesho Machi 18,2020. Kikao hicho kinatarajiwa kufanyika kwenye …