Mchezaji wa Mtibwa Sugar ,Salum Kihimbwa amerejea uwanjani rasmi baada ya kupona majeraha yake akiwa yupo tayari kukabiliana na michezo ijayo ikiwemo Ndanda Fc ya kesho. Kihimbwa alipata majeraha tangu …
mtibwa sugar
-
-
Kipa wa timu ya Simba sc Aishi Manula amesisitiza kuwa ataendelea kufungwa endapo atakaa langoni kuidakia timu hiyo katika michezo mbalimbali. Manula alibainisha hayo wakati akimjibu shabiki mmoja katika mtandao …
-
Timu ya soka ya Simba sc imeibuka na ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya mtibwa sugar katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara uliofanyika katika uwanja wa Jamhuru mjini …
-
Timu iliyonyakua ushindi wa kombe la mapinduzi Mtibwa Sugar wamefungwa na KMC mabao 2-0 katika mchezo wa ligi kuu bara uliochezwa uwanja wa Uhuru leo Januari 17 ,2020. Sadala Kipangwile …
-
Timu ya soka ya Yanga sc imetolewa kwenye michuano ya kombe la mapinduzi baada ya kufungwa kwa mikwaju ya penati na Mtibwa Sugar baada ya kutoka sare ya bao 1-1 …
-
Wakati akitarajiwa kuibeba tena timu yake itakaposhuka dimbani dhidi ya Mtibwa Sugar leo, kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mohamed Issa ‘Banka’, ametoa siri ya kuendelea kucheka na nyavu Banka amefunga mfululizo …
-
Staa wa timu ya taifa ya vijana (Ngorongoro Heroes) Kelvin John “Mbappe” amepewa ofa ya kufanya mazoezi na timu ya soka ya Mtibwa Sugar ili kujiweka fiti wakati akisubiri kwenda …
-
Kiungo wa zamani wa Azam fc na Mtibwa sugar Ibrahim Rajabu Jeba amefariki dunia akiwa visiwani Zanzibar alikokua akiichezea timu ya Chuoni fc ya visiwani humo. Jeba aliyewahi kuichezea Azam …
-
Winga wa zamani wa Simba sc Shiza Ramadhani Kichuya yupo nchini Tanzania akitafuta timu ya kuchezea baada ya ile ya Awali ya NPPI ya nchini Misri kumaliza mkataba nayo ambao …
-
Timu ya Mtibwa Sugar imesajili wachezaji Said Mohamed “nduda” na Salim Mbonde waliotemwa na klabu ya Simba baada ya miaka miwili kupita tangu waondoke klabuni hapo kwenda kujiunga na Wanamsimbazi. …