Uongozi wa Simba Sc umemtambulisha rasmi ,Charlse Ilanfya kwenye kikosi kinachonolewa na kocha mkuu Sven Vandenbroeck. Ilanfya alikuwa anakipiga ndani ya KMC ambapo aliibukia huko msimu wa 2018/19 akitokea labu …
mwadui fc
-
-
Klabu ya Yanga sc imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mwadui Fc mchezo wa Ligi Kuu nchini Tanzania bara uliochezwa katika uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga. Bao la …
-
Kocha wa klabu ya Yanga Luc Eymael pamoja na mshambuliaji David Molinga wamepanda ndege kuelekea mjini Shinyanga kuwavaa Mwadui Fc kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania bara utakaofanyika hapo kesho. …
-
Mshambuliaji wa klabu ya Yanga David Molinga amegoma kusafiri na timu kwenda mkoani Shinyanga kucheza na Mwadui kwa kudai kuwa timu hiyo inapendelea baadhi ya wachezaji. Molinga amelalamika kwa madai …
-
Ratiba ya ligi kuu Tanzania bara inaonyesha kwamba ligi hiyo inatarajiwa kurejea mwezi huu tarehe 13 ambapo michezo mbalimbali inatarajiwa kuchezwa katika hatua za nyumbani na ugenini. Klabu ya Yanga …
-
Timu ya Simba imepoteza mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mwadui Fc uliomalizika jioni hii kwa goli 1-0 katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa Kambarage jijini Shinyanga. Mwadui ilipata bao …
-
Ligi kuu ya soka Tanzania bara inaendelea tena jioni ya leo kwa michezo mbalimbali ambayo itafanyika katika viwanja tofautitofauti nchini. Singida United watawakaribisha Alliance mchezo utakaofanyika katika uwanja wa Namfua …
-
Bodi ya ligi kuu ya Tanzania bara (TPLB) imevifungia viwanja vya Mwadui complex,Manungu na Mabitini kutumika katika mechi za ligi kuu mpaka hapo vitakapofanyiwa ukarabati na kuthibitishwa na bodi hiyo …
-
Mshambuliaji wa Mwadui Fc Salim Aiyee ametua katika klabu ya Kmc kwa mkataba wa miaka miwili akitokea timu hiyo ya mjini shinyanga. Mshambualiaji huyo aliyeisaidia Mwadui kubaki ligi kuu Tanzania …