Kikosi cha klabu ya Yanga sc mapema asubuhi ya leo kimeondoka jijini Dar es salaam na kutua jijini Mwanza kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Geita Gold Fc utakaofanyika …
mwanza
-
-
Uongozi wa klabu ya Toto Africans inayoshiriki Ligi Daraja la Pili umetuma maombi kwenda Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ukidai haki baada ya kueleza kuwa wamefanyiwa hujuma na wapinzani wao …
-
Timu ya Pyramids Fc imetua jijini Mwanza jana kwa kutumia ndege ya kukodi ambayo iliwatoa moja kwa moja kutoka nchini Misri mpaka jijini Mwanza kucheza mchezo wa kimataifa dhidi ya …
-
Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera ameahidi kitita cha shilingi milioni 100 kwa wachezaji wa timu hiyo endapo watafanikiwa kuitoa Pyramids fc na kufuzu hatua ya makundi ya michuano ya kombe …
-
Kambi ya timu ya Yanga jijini Mwanza imezidi kunoga kufuatia kurejea kwa wachezaji ambao awali waalikua hajasafiri na timu kwa sababu mbalimbali. Wachezaji hao ni Abdulaziz Makame na Metacha Mnata pamoja …
-
Timu ya Yanga sc imewasil jijini mwanza asubuhi ya leo kwa ajili ya maandalizi ya michezo ya ligi kuu dhidi ya Mbao fc,Alliance na ule wa kimataifa dhidi ya Pyramids …
-
Wakati kikosi cha timu ya Yanga kikitarajiwa kuwasili jijini humo leo ijumaa uongozi wa matawi ya timu hiyo jijini humo umewaandalia mapokezi ya kibabe mabingwa hao wa kihistoria nchini. Yanga …
-
Kufuatia presha ya mashabiki timu inapocheza jijini Dar es salaam klabu ya Yanga imeamua kuhamishia michezo yao ya kimataifa jijini Mwanza ili kuhakikisha wanaibuka na ushindi katika mchezo dhidi ya …
-
Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limewatoa hofu viongozi wa klabu ya Yanga kuwa wataruhusiwa kuwatumia wachezaji wao David Molinga na Mustafa Suleyman kwenye mchezo wa mtoano kombe la Shirikisho …
-
Klabu ya Yanga Sc imethibitisha rasmi juu ya mchezo wao dhidi timu ya FC Pyramid kutoka Misri kwenye kombe la Shirikisho barani Afrika utachezwa katika uwanja wa Ccm Kirumba, jijini …