Bigirimana Blaise ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kufunga bao kwenye msimu wa pili wa ligi kuu bara ambapo aliiongoza timu yake ya Namungo Fc kuwapa kichapo cha bao …
namungofc
-
-
Msimu mpya wa ligi kuu Tanzania bara unaoanza leo Septemba 6 unakutanisha timu 12 kuvaana katika viwanja tofauti ili kusaka pointi tatu muhimu kwani zote zinahitaji kutwaa taji la ligi …
-
Yanga Sc imemtangaza Benard Morisson kuwa ni miongoni mwa wachezaji wake wakati wakiwatambulisha wachezaji wapya na wale waliokuwa kwenye kikosi hicho msimu wa 2019/2020 katika siku yao ya kilele cha …
-
Simba Sc imefanikiwa kutwaa taji la ngao ya jamii leo kwenye mchezo uliochezwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. Wanamsimbazi hao wametwaa taji hilo baada ya kuibuka na ushindi …
-
Ramadhani Kayoko ni miongoni mwa refa atakayechezesha mchezo wa leo wa ngao ya jamii baina ya Simba sc na Namungo Fc uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha saa 9:00 …
-
Wakati Yanga Sc ikiadhimisha siku yao leo Dar-es-salaam uwanja wa Mkapa ,Simba Sc nayo itakuwa jijini Arusha kumenyana na Namungo Fc uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Mchezo huo wa ngao …
-
Simba Sc itacheza na mechi mbili za kirafiki ambazo ni KMC na Transit Camp siku ya leo Agosti 26 katika uwanja wa Uhuru kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa …
-
Azam Fc imewachapa mabao 2-1 Namungo Fc katika sikukuu yao ambayo ilihudhuriwa na umati wa mashabiki katika uwanja wao wa Chamazi,Azam Complex. Azam Festival imehudhuliwa na wasanii wakubwa maarufu mmoja …
-
Namungo Fc imekamilisha usajili wa aliyekuwa beki wa Yanga Sc, Jaffar Mohammed kwa mkataba wa mwaka mmoja. Usajili wa beki huyo unaenda kuongeza nguvu eneo la ulinzi kwa lengo la …
-
Abdulhalim Humud wa Mtibwa Sugar amejiunga na Namungo Fc leo Agosti 13 iliyo chini ya Hitimana Thiery kwa dili la miaka miwili. Humud akiwa Mtibwa Sugar msimu wa 2019/20 alihusika …