Ligi kuu Tanzania Bara, ligi daraja la kwanza, ligi ya wanawake na masuala yote ya michezo yanayohusisha mjumuiko wa watu imesitishwa kuanzia leo na Serikali. Hii ni kutokana na kuisaidia …
ndanda
-
-
Raisi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia ameelekeza Kamati ya Uongozi ya Bodi ya Ligi Kuu kuitisha kikao cha dharura kesho Machi 18,2020. Kikao hicho kinatarajiwa kufanyika kwenye …
-
Mshambuliaji wa timu ya Ndanda SC ya Mtwara, Vitalis Mayanga amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Februari wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania (VPL) msimu wa 2019/2020. Mayanga amewashinda Reliants …
-
Mabingwa wa Kihistoria wa Ligi Kuu Tanzania Bara , Yanga SC kesho wanashuka kwenye dimba la Nangwanda Sijaona Mtwara kuvaana na Ndanda SC huku wakikosa huduma za wachezaji wao wanane …
-
Timu ya Yanga sc imerejea nchini baada ya kumaliza michuano ya kimataifa huku ikiondoshwa katika michuano hiyo baada ya kukosa nafasi ya kufuzu hatua ya makundi ya michuano ya kombe …
-
Mshambuliaji wa Azam fc Donald Ngoma leo ameisaidia klabu yake ya Azam fc kuibuka na ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya ndanda fc katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa Azam …