Kiungo mshambuliaji wa zamani wa klabu za Simba sc na Yanga sc Haruna Niyonzima amerejea katika klabu ya As Kigali kama mchezaji huru kwa mara ya tangu tangu alipofanya hivyo …
niyonzima
-
-
Klabu ya Azam Fc imekamilisha usajili wa kiungo mkabaji kutoka Rwanda ambaye alikuwa akicheza ndani ya Yanga Sc, Ally Niyonzima kwa mkataba wa miaka miwili. Niyonzima aliyekuwa akicheza Rayon Sports …
-
Kocha wa klabu ya Yanga sc Luc Eymael amethibitisha kuwa viungo Balama Mapinduzi na Haruna Niyonzima hawatoichezea tena timu hiyo mpaka msimu ujao kutokana na majeraha yanayowakabili. Awali mastaa hao …
-
Daktari wa klabu ya Yanga, Docta Shecky Mngazija amesema kiungo wa Klabu hiyo Haruna Niyonzina hajaumia Sana hata leo anaweza kuungana na wachezaji wenzake kwa ajili ya mazoezi ya maandalizi …
-
Sasa ni rasmi klabu ya Yanga imemkosa kiungo mkabaji raia wa Rwanda Ally Niyonzima baada ya kiungo huyo kuamua kusaini mkataba wa miaka miwili katika klabu ya Kiyovu Stars inayoshiriki …
-
Kiungo anayecheza ndani ya klabu ya Yanga ,Haruna Niyonzima ameamua kuongeza mke wa pili ikiwa ni mwezi wa Ramadhani. Niyonzima ameamua kufunga ndooa hiyo kimya kimya na mwanadada aitwaiye Cassandra …
-
Kocha wa zamani wa klabu ya Simba sc Masoud Djuma amewapa tano klabu ya Yanga baada ya kusikia wanaisaka saini ya kiungo wa Rwanda Ally Niyonzima. Kocha huyo ambaye amewahi …
-
Klabu ya Yanga ipo katika hatua za mwisho kumsajili kiungo Ally Niyonzima kutoka klabu ya Rayon Sports ya nchini Rwanda. Niyonzima 24 ni kiungo wa nafasi ya ulinzi ambayo inachezwa …
-
Kiungo wa Yanga Haruna Niyonzima ameeleza kuvutiwa na uchezaji wa kiungo anayecheza nae kikosi cha mabingwa hao wa kihistoria, Mapinduzi Balama Niyonzima aliyerejea Yanga mwezi Januari, amesema Balama ni mmoja …
-
Kiungo fundi wa klabu ya Yanga Haruna Niyonzima ataukosa mchezo wa leo wa ligi kuu dhidi ya Namungo Fc utakaofanyika katika uwanja wa Majaliwa mkoani Mtwara. Kiungo huyo ataukosa mchezo …