UONGOZI wa Azam FC, unayofuraha kuwataarifu kuwa tumekamilisha taratibu za kumsajili kiungo mshambuliaji, Khleffin Hamdoun, kwa mkataba wa miaka minne akitokea Mlandege ya Zanzibar. Huo unakuwa usajili wa kwanza kwa …
Tag:
popat
-
-
Mshambualiaji wa Azam fc Obrey Cholla Chirwa amejisalimisha klabuni hapo na kusaini mkataba mpya wa mwaka mmoja baada ya kuwazungusha viongozi wa klabu hiyo kwa muda mrefu bila sababu zisizoeleweka. …
-
UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, leo umeingia mkataba wa miaka miwili na Kocha Etienne Ndayiragije, kwa ajili ya kuinoa timu hiyo kuanzia msimu …