Aliyewahi kuwa kocha wa klabu ya Simba Sc Roberto Oliveira (Robertinho) ambaye hivi majuzi alisimamishwa kazi na Rayon Sports kwa sababu za kimatibabu, amewasilisha malalamiko kwa Chama cha soka cha …
rwanda
-
-
Kwa mujibu wa taarifa nyingi kutoka Kigali nchini Rwanda inaelezwa aliyekua kocha wa klabu ya Yanga sc Miguel Gamondi upo uwezekano akajiunga na APR ya Rwanda ambapo mazungumzo yameanza ili …
-
Shirikisho la soka Duniani (Fifa) limeifungia klabu ya Rayon Sports ya Rwanda kufanya usajili wa wachezaji wa kigeni baada ya kukutwa na hatia ya kutomlipa stahiki zake aliyekuwa golikipa wao …
-
Zaidi ya mashabiki elfu moja wa klabu ya Yanga sc wamewasili nchini Rwanda kuelekea mchezo wa kwanza wa hatua ya pili ya michuano ya klabu bingwa barani Afrika dhidi ya …
-
Kocha msaidizi wa klabu ya Yanga sc pamoja na Makamu Mwenyekiti wa kamati ya usajili Eng.Hersi Said wametua nchini Rwanda kumuangalia kiungo matata wa soka Abeid Bigirimana raia wa Burundi …
-
Gormahia ambao ni mabingwa mara 19 wa ligi kuu ya Kenya (KPL) wamejinasia huduma za kocha mpya,Roberto Oliveira ambaye atakuwa mbadala wa mwingereza Steven Polack aliyejiuzulu usiku wa Octoba 8,akiwa …
-
Uongozi wa APR Fc ya Rwanda upo kstika harakati za kumsajili wa Simba Sc ,Meddie Kagere kwa ajili ya kuitumikia klabu hiyo msimu ujao . Raisi wa klabu hiyo ,Jack …
-
Kwa mujibu wa meneja wa mchezaji wa klabu ya Simba Meddie Kagere aitwaye Patrick Gakumba ni kwamba mshambuliaji huyo amegomea ofa ya kujiunga na klabu ya Levante Fc ya nchini …
-
Nchi ya Rwanda imesaini mkataba na timu ya Psg ya nchini Ufaransa ili kupromoti utalii wa nchi hiyo kimataifa huku ikishirikisha mastaa wa timu hiyo kupitia kampeni ya tembelea Rwanda …
-
Kiungo wa klabu ya Yanga sc na timu ya taifa ya Tanzania Feisal Salum “Fei toto” ameshindwa kusafiri na timu ya taifa kwenda nchini Rwanda kucheza mchezo wa kirafiki na …