Baada ya kutangaza kuachana na John Bocco,Klabu ya Simba sc imeendelea kuachana na mastaa mbalimbali waliomaliza mikataba klabuni hapo ambapo leo hii imetangaza kuachana na Saido Ntibanzokiza ambaye mkataba wake …
Saido Ntibanzokiza
-
-
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Simba sc Saido Ntibanzokiza ameaga mastaa wenzake klabuni hapo baada ya mkataba wake kumalizika msimu huu huku kila upande ukiwa hauonyeshi nia hasa ya kufungua …
-
Kocha Mkuu wa Burundi ‘Intamba Mu Rugamba’, Etienne Ndayiragije amemwaacha nje ya kikosi kiungo wa Simba SC, Saido Ntibazonkiza wakati Burundi ikijiandaa kukabiliana na Namibia kwenye michezo ya kufuzu Afcon …
-
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Simba sc Saido Ntibanzokiza ameendelea kufanya maajabu tangu ajiune na klabu ya Simba sc akitokea klabu ya Geita Gold Fc kwa mkataba wa mwaka mmoja …
-
Staa wa zamani wa klabu ya Yanga sc Saido Ntibanzokiza amelamba dili la mkataba mnono wa kujiunga na klabu ya Simba sc kwa mkataba wa mwaka mmoja na nusu ambapo …
-
Kiwango maridhawa kilichoonyeshwa na nyota wa zamani wa klabu ya Yanga sc Saido Ntibanzokiza kimewakosha wadau mbalimbali wa michezo nchini ambapo mpaka sasa amekua msaada katika klabu yake ya Geita …
-
Kiungo mshambuliaji Saido Ntibanzokiza tayari amekamilisha taratibu zote kuitumikia klabu ya Geita Golds Sc iliyomsajili kwa ajili ya kuitumikia msimu huu baada ya kuachana na klabu ya Yanga sc msimu …
-
Kiungo mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Yanga sc Saido Ntibanzokiza amekwama kucheza katika michuano ya kimataifa akiwa na klabu yake mpya ya Geita Gold Fc baada ya usajili wake …
-
Aliyekua mchezaji wa klabu ya Yanga sc Saido Ntibanzokiza amekiunga na klabu ya Geita Gold SC inayoshiriki michuano ya ligi kuu nchini huku ikiwa na tiketi ya kushiriki michuano ya …
-
Inasemekana aliyekua kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga sc Saido Ntibanzokiza ameanza mazungumzo kujiunga na klabu ya Simba sc baada ya kushindwana na klabu ya Yanga sc kuhusu kusaini mkataba …