Tetesi zinaeleza kuwa kocha mkuu wa Chelsea,Frank Lampard anahitaji saini ya nyota wa Juventus,Paulo Dybala ili awe ndani ya kikosi hicho cha The Blues. Dybala mwenye miaka 26 raia wa …
saini
-
-
Ile inshu ya kuongeza mkataba ya staa wa Simba Emmanuel Okwi ni kama inaelekea mwishoni baada ya staa huyo kukubaliana baadhi ya vipengele na vigogo wa Simba walioko nchini Misri …
-
“Jangwani kumekucha” ndio msemo unaoweza kuutumia kuelezea mishemishe za usajili zinazoendelea katika klabu hiyo yenye makao makuu Jangwani Kariakoo Dar es salaam baada ya kuendeleza vurugu za usajili ili kujihakikishia …
-
Inaelezwa kuwa kocha wa zamani wa Yanga sc Mzambia George Lwandamina ndio kikwazo cha mchezaji Geoffrey Mwashiuya kutosaini timu yeyote hapa nchini akilisikilizia simu ya kocha huyo ambaye anataka akajiunge …
-
Mshambualiaji wa Simba Sc John Boko amesaini kandarasi ya miaka miwili kuendelea kuitumikia timu hiyo baada ya ule wa awali kufikia kikomo msimu. Mshambualiaji huyo aliyejiunga simba akitokea Azam Fc …
-
Beki katili wa Yanga Abdalah Shaibu “Ninja” ambae mkataba wake na wanajangwani hao upo ukingoni tayari amewekewa ofa za kutosha na klabu mbalimbali sportsleo imebaini japo mpaka sasa anawasubiri waajiri …