Nahodha wa Tanzania,Mbwana Samatta amefanikiwa kujiunga na klabu ya Fenerbahce ya uturuki kwa mkataba wa miaka minne akitokea Aston Villa inayoshiriki ligi kuu England. Samatta ameondoka Villa kutokana na nafasi …
samata
-
-
Manchester United imeibuka na ushindi wa Mabao 3-0 dhidi ya Aston Vila mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza uliofanyika katika uwanja wa Vila Park. Mabao ya Man utd yaliwekwa na …
-
Ron Smith ambae ni Baba Mzazi wa kocha wa Aston Villa Dean Smith afariki Dunia hii leo baada ya kuugua Corona kwa muda wa wiki nne huku pia akisumbuliwa na …
-
Staa wa klabu ya Simba sc Ibrahim Ajibu Migomba amesema kuwa hakukurupuka kujiunga na klabu ya Simba sc na kukataa ofa nono ya klabu ya Tp Mazembe ya Lububumbashi nchini …
-
Baada ya kukaribia kukamilisha usajili kwenda klabu ya Aston Villa inayoshiriki ligi kuu nchini Uingereza imesadika kuwa mauzo ya mchezaji huyo yataifaidisha klabu ya Simba ambayo aliichezea staa huyo kabla …
-
Mshambuliaji wa KRC Genk na Timu Ya Taifa Ya Tanzania Mbwana Samatta amebadili kampuni ya uwakala aliyokuwa nayo mwanzo ya First For Players na kujiunga na Spocs Consultant kwa ajili …
-
Licha ya kufunga bao dhidi ya Redbull Salzburg straika wa timu ya Krc Genk Mbwana Samata ameshindwa kuiepusha timu hiyo na kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa Salzburg mchezo uliochezwa …
-
Kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Ettiene Ndayiragije na nahodha wa kikosi hicho Mbwana Samatta wametofautiana katika kupiga kura ya mchezaji bora wa dunia kwa upande wa wanaume baada …
-
Timu ya soka ya Tanzania (Taifa stars) kesho itavaana na Burundi katika mchezo wa kuwania kufuzu kombe la dunia nchini qatari mwaka 202 mchezo ambao utafanyika katika uwanja wa taifa …
-
Hakuna kuangaliana usoni baina ya nchi jirani za Tanzania na Kenya katika michuano ya Afcon ambapo leo watakutana katika raundi ya pili ya kundi C baada ya timu zote kupoteza …