Manchester United ianajiandaa kutangaza dau la kumnunua mlinzi wa Juventus na Uholanzi Matthijs de Ligt, 20, huku kiungo wa kati wa Ufaransa Paul Pogba, 27, akiwa tayari kuondoka Old Trafford. …
Tag:
sanchez
-
-
Licha ya kuweka ngumu muda mrefu kuhusu kuhama katika timu ya Manchester unite hatimaye Alexis Sanchez amekubali kuhama huku taarifa zikidai Intermilan,Ac milan na Juventus zimeonesha kuvutiwa na staa huyo …