Kwa mara ya pili klabu ya Yanga sc imefanikiwa kupata ushindi mnono baada ya ule dhidi ya Zalan Fc ambapo wameifunga timu ya Rhino Rangers ya mkoani Tabora kwa mabao …
Shirikisho
-
-
Ilikua ni ahadi lakini imekua kweli baada ya klabu ya Yanga sc kufanikiwa kushinda taji la tatu la msimu huu baada ya kutwaa ubingwa wa kombe la shirikisho kwa kuifunga …
-
Kiungo wa klabu ya Yanga sc Feisal Salum ameinyamazisha klabu ya Simba sc baada ya kufanikiwa kufunga bao katika ushindi wa 1-0 ilioupata Yanga sc dhidi ya Simba sc katikam …
-
Klabu ya Simba sc sasa itakutana na Yanga sc katika mchezo wa nusu fainali ya kombe la shirikisho baada ya kufanikiwa kufuzu kufuatia kuifunga Pamba sc kwa mabao 4-0 katika …
-
Licha ya mshambuliaji Fiston Mayele kushindwa kutetema katika mchezo wa robo fainali ya kombe la shirikisho katika uwanja wa Benjamin Mkapa bado klabu ya Yanga sc ilifanikiwa kufuzu hatua ya …
-
Klabu ya Simba sc imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 7-0 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa kombe la shirikisho uliofanyika katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es …
-
Klabu ya Simba sc itakutana na Yanga sc katika hatua ya nusu fainali ya kombe la shirikisho baada ya kufanikiwa kuifunga Azam fc mabao 2-0 katika mchezo uliofanyika uwanja wa …