Patrick Sibomana ambaye hapo awali alikuwa akiitumikia Yanga Sc amesaini dili la mwaka mmoja kuichezea klabu ya Polisi Rwanda ya Rwanda. Sibomana mwenye umri wa miaka 25 alimaliza mkataba wake …
Tag:
sibomana
-
-
Kutokana na usajili wa nguvu uliofanyika Jangwani kocha Mwinyi Zahera ameanza kupata mtihani wa kupanga wachezaji baada ya wengi kuonekana kupania kuingia kikosi cha kwanza cha timu hiyo. Golini kiwango …
-
Hatimaye kocha mkuu wa Yanga sc Mwinyi Zahera ametua nchini leo alfajiri akitokea nchini Ufaransa alipokua na mapumziko baada ya kutoka katika michuano ya Afcon na timu ya taifa ya …
-
Achana na taarifa za mgomo zinazoendelea Jangwani,Fowadi ya timu hiyo ni hatari baada ya kushinda mabao 19 ndani ya mechi tatu huku Mnyarwanda Patrick sibomana,Mrisho Ngasaa wakipachika mabao ya kutosha …