Liverpool wanavutiwa na mpango wa kumsajili winga wa Arsenal Bukayo Saka ambaye mkataba wake na washika bunduki wa London unamalizika mwaka 2024.(Express) Liverpool pia wametuma ofa ya mkataba kwa kiungo …
tetesizausajiliulaya
-
-
Mshambuliaji wa FC Barcelona Ousmanne Dembele huenda akaondoka katika klabu hiyo baada ya kushindwa kufikia makubaliano ya kuongeza mkataba mpya wa kusalia Camp Nou. Hali kwasasa ni ya mchanganyiko kati …
-
Real Sociedad wanaamini kuwa Manchester united itamruhusu kuondoka bure kiungo Juan Mata katika dirisha dogo la usajili mwezi Januari mwakani. Barcelona wanataka kuwasajili wachezaji wawili kutoka Chelsea Cesar Azpiliqueta na …
-
Kiungo wa Arsenal Maitland Niles yupo karibu kufikia makubaliano binafsi na AS Roma kwaajili ya kujiunga na klabu hiyo inayofundishwa na kocha Jose Mourinho katika dirisha dogo la usajili mwezi …
-
Klabu ya Manchester city itatunza kiasi cha paundi milioni 55 kutokana na mauzo ya Ferran Torres ili kujiandaa na usajili wa Erling Haaland kutoka Dortmund msimu ujao. (Manchester Evening News) …