Usajili Real Madrid 2025
Baada ya kukatishwa tamaa kwenye Kombe la Dunia la Vilabu, kumeibuka sakata la Usajili Real Madrid ambapo inakabiliwa na kazi kubwa ya kujenga upya kikosi chake kwa ajili ya mafanikio ya baadaye. Xabi Alonso ana jukumu zito la kufanya mabadiliko ya kimkakati kwenye kikosi ili kuhakikisha Los Blancos inarudi kwenye kilele cha soka la Ulaya….
