Ali Hassan Mwinyi
Tff
-
-
Stars
-
Shirikisho la mpira wa miguu duniani (FIFA) linatarajia Kufanya uchunguzi wa mpira wa Tanzania katika Kipindi cha miezi miwili nyuma hadi sasa kutokana na migogoro ya kimaamuzi iliyotokea. Kwa mujibu …
-
Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ali Kamwe kwenye mkutano wake na waandishi wa Habari uliofanyika Juni 9, 2025 katika makao makuu ya klabu hiyo amesema kuwa klabu hiyo haitacheza …
-
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga sc Stephane Aziz Ki amefanikiwa kutwaa tuzo tatu katika tuzo za ligi kuu nchini zilizotolewa na Shirikisho la soka nchini Tanzania (TFF) kwa wanasoka …
-
Shirikisho la soka nchini Tanzania (TFF) limesema kuwa tuzo za wachezaji na makocha waliofanya vizuri msimu huu wa ligi kuu zitatolewa mwezi Julai wakati wa michuano ya Ngao ya jamii …
-
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga, Stephane Aziz Ki ameibuka kuwa mchezaji bora mwezi Machi msimu wa ligi kuu kwa msimu wa baada ya kutangazwa na bodi inayosimamia ligi kuu …
-
Klabu ya Al Hilal ya Sudan itawalazimu kuingia mfukoni na kulipa mamilioni ya fedha kwa ajili ya kikosi cha wachezaji 38 pamoja na benchi la ufundi ili kupata idhini ya …
-
Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu nchini Tanzania (TFF), Wallace Karia amemteua Rais wa Klabu ya Yanga Eng.Hersi Rais kuwa mjumbe wa kamati ya maandalizi ya mashindano ya Mataifa …
-
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana mei 29, 2023 ameongoza kikao cha Mawaziri wa nchi za Kenya na Uganda kwa njia ya mtandao ikiwa ni …