Kocha wa zamani wa Klabu ya Yanga Mkongo Mwiny Zahera amekataa kazi ya kuifundisha klabu ya Township Roller ya nchini Botswana baada ya kutofahamu kuzungumza lugha za kiingereza. Zahera ambaye …
Township Rollers
-
-
Timu ya soka ya Yanga sc imewasili usiku wa leo kutoka nchini Botswana ilipokua imeenda kukipiga na Township Rollers mchezo wa ligi ya mabingwa barani Afrika na kufanikiwa kuibuka na …
-
Shirikisho la soka barani Afrika (Caf) limegomea ombi la timu ya Township Rollers la kubadili uwanja utakaofanyika mchezo dhidi ya Yanga sc kutoka uwanja wa taifa wa Botswana kwenda uwanja …
-
Maumivu ya goti aliyoyapata beki wa Yanga Ally Ally yamemfanya atolewe kwenye kikosi cha timu hiyo kitakachovaana na Township Rollers jijini Gaborone Botswana. Beki huyo mfupi mwenye uimara katika kucheza …
-
Timu ya Yanga sc imeandika barua kwa shirikisho la soka nchini (Tff) kuomba kusogezwa mbele kwa mchezo wa ufunguzi wa ligi kuu dhidi ya Ruvu shooting ili kupata muda wa …
-
Kipa wa Yanga Mkenya Farouk Shikalo amefurahishwa na kurejea kwa beki mkongwe Kelvin Yondani ambaye aligoma kujiunga na kambi ya timu hiyo baada ya kutokamilishiwa baadhi ya madai yake ya …
-
Wachezaji wapya wa Yanga sc Farouk Shikalo na David Molinga wapo kwenye hatihati ya kuikabili Township Rollers baada ya kutopata leseni kutoka shirikisho la soka barani afrika (Caf) inayowaruhusu kucheza …
-
Timu ya Yanga sc leo jioni itashuka uwanjani kucheza na timu ya Mlandege ya visiwani Zanzibar katika maandalizi ya kujiandaa na mchezo wa klabu bingwa barani Afrika dhidi ya Mwandege …
-
Timu ya Simba sc imevaana na timu ya Township Rollers ya Botswana katika mechi ya kujiandaa na msimu mpya katika kambi ya maandalizi ya timu hiyo nchini Afrika Kusini na …