Klabu ya Yanga sc ipo mbioni kumleta nchini beki wa klabu ya Tp Mazembe Ibrahim Keita kwa ajili ya kufanya mazungumzo na mabosi wa timu hiyo inayompigia hesabu kumsajili kwa …
Tp mazembe
-
-
Kiungo wa ushambuliaji raia wa Congo DR MÃ rcel Ngimbi Vumbi (27) ametuma barua kwenda kwa uongozi wa klabu yake ya Tp Mazembe akiomba kuvunja mkataba wake na klabu hiyo mwishoni …
-
Klabu ya Tp Mazembe imeaga mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia kipigo cha 1-0 dhidi ya MC Alger kwenye mchezo wa raundi ya tano wa Kundi A uliofanyika nchini …
-
Klabu ya Yanga sc imezidi kunogesha safari yake ya kufuzu hatua ya robo fainali ya michuano ya kombe la Klabu bingwa barani Afrika baada ya kupata ushindi wa mabao 3-1 …
-
Kocha mkuu wa klabu ya Yanga sc Sead Ramovic ameahidi kuendelea kutumia mfumo wake wa kushambulia zaidi kuelekea mchezo wa kesho wa hatua ya makundi ya klabu bingwa barani Afrika …
-
Rais wa klabu ya Yanga sc Eng.Hersi Said amesafiri kuelekea nchini Congo Drc kwa ajili ya kufanya usajili wa wachezaji wawili ambao wanacheza nafasi za beki na winga kwa ajili …
-
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameshuhudia mchezo kati ya TP Mazembe ya DRC Congo dhidi ya Esperance Sportive de Tunis ya nchini Tunisia ikiwa ni …
-
Licha ya kuwazidi ujanja katika usajili wa Kennedy Musonda bado klabu ya Yanga sc imeendelea kuisakama klabu hiyo ikihitaji kumsajili nyota wake Phillip Kinzumbi hasa baada ya mabosi wa klabu …
-
Winga Benard Morrison ameachwa katika msafara wa mastaa wa klabu ya Yanga sc ambao wanaelekea nchini Congo Drc kwa ajili ya mchezo wa mwisho wa kundi D wa kombe la …
-
Bosi wa klabu ya Tp Mazembe Moise Katumbi ameagiza mastaa wa klabu hiyo kukatwa mishahara yao kwa asilimia 25 endapo watashindwa kufuzu hatua ya robo fainali ya michuano ya kombe …