Nahodha wa klabu ya Yanga sc Papy Tshitshimbi mpaka sasa bado hajasaini mkataba mpya na klabu hiyo licha ya kupewa mkataba huo toka miezi miwili iliyopita. Inadaiwa nahodha huyo anataka …
tshitshimbi
-
-
Habari za ndani ya klabu ya Yanga zinadai kuwa klabu hiyo imefikia makubaliano ya mkataba wa miaka miwili na nahodha wa klabu hiyo Papy Kabamba Tshitshimbi kuendelea kukichezea klabu hiyo. …
-
Kiungo na nahodha wa klabu ya Yanga Papy Kabamba Tshitshimbi amekataa kusaini mkataba mpya wa klabu hiyo baada ya kutoridhika na maslahi aliyowekewa na klabu hiyo hasa mshahara na dau …
-
Nahodha wa klabu ya Yanga Papy Kabamba Tshitshimbi amesema yuko tayari kubadili uraia kuwa mtanzania ili apate nafasi ya kuichezea timu ya taifa ya Tanzania(Taifa stars). Kiungo huyo anaichezea Yanga …
-
Kocha Mwinyi Zahera amewateua Papy Kabamba Tshitshimbi na Mrisho Ngasa kuwa manahodha wapya kuelekea msimu mpya wa ligi kuu na michuano ya kimataifa ambayo timu hiyo itashiriki. Zahera amefikia uamuzi …