As Roma wamemsajili beki wa Manchester United,Chris Smalling kwa kandarasi ya miaka mitatu huku wakiweka mezani kiasi cha bilioni 1.9. Usajili huo ulikamilishwa na shirikisho la soka la Italia dakika …
Tag:
UEFA Europa League Final
-
-
Hatimaye Manchester United imemalizana na Alexis Sanchez baada ya klabu ya Inter Milan kukubali kumsajili raia huyo wa Chile kwa pauni milioni 13.5 ambapo mkataba wake utakuwa ni wa miaka …
-
Wachezaji wa Arsenal, wamekubali kukatwa asilimia 12.5 ya mishahara yao, baada ya kuahidiwa ‘bonasi’ kubwa katika ligi ya mabingwa Ulaya na kombe la ligi ya Europa. Wachezaji watafidia fedha watakazokatwa …
-
Rais w shirikisho la soka la Bulgaria Borislav Mihaylov amejiuzulu nafasi hiyo kufuatia vitendo vya ubaguzi wa rangi vilivyoonyesha na mashabiki pamoja na wachezaji wa taifa hilo katika mchezo dhidi …