Ligi ya mabingwa inaendelea leo ambapo watetezi wa ligi kuu England,Liverpool itavaana na Ajax majira ya saa 4:00 usiku uwanja wa Johan Cruijff Arena. Huu ni mchezo wa aina yake …
ulaya
-
-
Klabu ya Real Madrid imesema kuwa kwa msimu huu itahakikisha inapata saini ya mshambuliaji wa taifa la Norway na klabu ya Borussia Dortmund Erling Braut Halaand ili kujipa nafasi ya …
-
Arsenal huenda ikampoteza mshambuliaji wa Gabon Pierre-Emerick Aubameyang, ambaye anatakiwa na Real Madrid. Raia huyo wa Gabon mwenye miaka 30 anatakiwa na Zinedine Zidane kuchukua nafasi ya mshambuliaji wa Inter …
-
Mshambuliaji waNigeria Odion Ighalo, 30, atalazimika kupokea paundi £200,000-kwa wiki ikiwa anataka kubadilisha-uhamisho wake wa mkopo Manchester United kutoka klabu ya Shanghai Shenhua inayoshiriki Super League ya China, ambako alikuwa …
-
Manchester United ianajiandaa kutangaza dau la kumnunua mlinzi wa Juventus na Uholanzi Matthijs de Ligt, 20, huku kiungo wa kati wa Ufaransa Paul Pogba, 27, akiwa tayari kuondoka Old Trafford. …
-
Real Madrid huenda ikamtimua kocha wake Zinedine Zidane na kumuajiri aliyekuwa kocha wa Tottenham Mauricio Pochettino ama aliyekuwa kocha wa Juventus Massimiliano Allegri.(Marca – in Spanish) Atletico Madrid inasalia na …
-
Kiungo wa kati wa Ufaransa Paul Pogba, 26, atarejea katika mazoezi ya kikosi cha kwanza Manchester United wiki hii na anapania kuwa na ushirikiano uwanjani na Bruno Fernandes aliyejiunga na …
-
Wachezaji wa Aston Villa wakiongozwa na Jack Grealish, Tyrone Mings na Ezri Konsa wameshtushwa na kasi inayooneshwa na Mbwana Samatta katika mazoezi ya klabu hio katika uwanja wa Bodymoor. Akizungumza …
-
Wachezaji wa Atletico Madrid walishikwa na hasira na kushangazwa baada ya kukosolewa na kocha wa Liverpool Jurgen Klopp. Atletico iliwafunga Liverpool 1-0 Jumanne katika raundi ya kwanza ya hatua ya …
-
Barcelona italazimika kumjumuisha mshambuliaji wa Ufaransa Antoine Griezmann katika mpango wowote utakaojaribu kuishawishi Inter Milan kuwauzia Lautaro Martinez. (Sun) Pep Guardiola atasalia kuwa meneja wa Manchester City hata kama klabu …